Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amefanya ziara katika tarafa ya Isimaniambapo amekagua miradi ya maendeleo, kuongea na walimu sanjari na kuongea na wananchi kupitia mkutano wa hadhara na kutatua changamoto ya mgogoro wa ardhi Katika miradi ya maendeleo Mhe. Kheri, amekagua ujenzi wa maabara, chumba cha upasuaji, nyumba ya mtumishi na ujenzi…