GGML yasisitiza kuendelea kuimarisha afya za wafanyakazi

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali imeahidi kuendelea kusimamia mipango ya kuimarisha na kusimamia afya za wafanyakazi dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebinishwa katika kongamano la kwanza la mashirika na kampuni hizo (CWC) lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo liliandaliwa na taasisi…

Read More

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni) kujenga viwanda vitatu vya uchenjuaji wa madini ya metali katika mikoa ya Ruvuma, Dodoma na Lindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Arunas Sermuksnis Hayo yamebainishwa leo Jumanne na Mkurugenzi wa Kampuni ya…

Read More

TARURA Rukwa yaboresha miundombinu ya barabara

Rukwa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika maeneo mbalimbali mkoani Rukwa ili kuinua shughuli za kijamii na kiuchumi. Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa TARURA Mkoa wa Rukwa, Mhandisi William Lameck alisema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa…

Read More