ALAT yapewa mbinu kuleta mabadiliko kwa jamii
Unguja. Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) imetakiwa kujipambanua kwa kutetea masilahi ya umma ili kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii, jambo ambalo limetajwa kuwa litaifanya iweze kuheshimika. Hayo yameelezwa leo Aprili 24, 2024 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Masoud Ali Mohammed…