Askari Wajengewa Uwezo Kwa Kupatiwa Elimu Ya Uchaguzi – Global Publishers
Last updated Sep 27, 2025 Jeshi la Polisi wilaya ya Arusha kwa kushirikiana na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa, Wakaguzi na Askari kwa ajili ya kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi na uadilifu katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu unaoendelea. Mafunzo hayo yameyafanyika Septemba 26, 2025…