Singida FG yajipata, Kyombo atakata Kirumba

Mwanza. Baada ya kuwa na matokeo mabaya kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa hatimaye leo wenyeji Singida Fountain Gate wamepata ushindi muhimu huku mshambuliaji wake, Habib Kyombo akitakata kwa kuifungia mabao mawili. Singida ambayo ilikuwa haijapata ushindi kwenye Ligi Kuu Bara tangu ilipoifunga Namungo bao 1-0 Machi 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM…

Read More

Banka aukubali mziki wa Kagoma

KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga, Mohammed Banka amesema anakoshwa na uchezaji wa kiungo mkabaji wa Simba, Yusuf Kagoma anayekaba mtu na mtu jambo ambalo ni gumu kwa wapinzani kupenya eneo analolicheza. Banka alikuwa anacheza kiungo namba sita kama Kagoma jambo linalomshawishi kumfuatilia zaidi aina ya ukabaji wake na kutuliza presha eneo la kati….

Read More

NAIBU KATIBU MKUU MDEMU APONGEZA JITIHADA WANAWAKE KUJIKWAMUA KIUCHUMI

-AWAKUMBUSHA WANUFAIKA WA MIKOPO YA MFUKO WA WANAWAKE KUFANYA MAREJESHO. -AWAASA WANAWAKE KUJITOKEZA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI  Na WMJJWM, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Felister Mdemu amepongeza juhudi za wanawake katika kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbalimbali baada ya kupatiwa mikopo kutoka Serikalini kupitia Mfuko wa…

Read More

Mambo saba yaliyobeba Ilani ya ACT Wazalendo

Dar es Salaam. Uchumi wa watu, kuboresha huduma za jamii kwa wote na miundombinu bora kwa uchumi na ustawi wa wananchi ni miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye Ilani ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyia Oktoba 29, 2025. Mengine ni kujenga taifa lenye haki na demokrasia ili kuondoa rushwa na kujenga Serikali yenye uwazi na…

Read More

JIWE LA SIKU: Yanga inavyotukumbusha zama za BBC, MSN

MOJA ya mijadala mikubwa nchini kwa sasa ni kitendo cha Yanga kumsajili aliyekuwa kiungo wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chota Chama ‘Triple C’ aliyetua ndani ya timu hiyo baada ya kukitumikia kikosi cha wekundu kwa miaka sita. Chama ameondoka ndani ya kikosi cha Simba alichojiunga nacho Julai Mosi, 2018 akitokea Klabu ya Lusaka Dynamos…

Read More