MAHAFALI YA 47 YA BODI YA NBAA YAFANA

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Christian Omolo akisoma hotuba yake kwenye mahafali ya 47 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA). Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza kuhusu namna Bodi hiyo ilivyofanikisha kuongeza idadi…

Read More

Wapata dawa ya utoro, mimba kwa wanafunzi wa kike

Mufindi. Ili kupunguza utoro na mimba kwa wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Ilongo iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Mufindi, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), kupitia shamba la miti la Sao Hill wametoa vifaa vya ujenzi wa bweni la wasichana vyenye thamani ya zaidi ya Sh30 milioni kwa ajili ya ujenzi wa bweni…

Read More

Morocco: Mwanzo mzuri, ila bado tuna kazi

BAADA ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuanza vyema fainali za Ubingwa wa Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN), kocha wa kikosi hicho, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema huo ni mwanzo tu, ingawa mambo mazuri zaidi yanakuja. Morocco amezungumza hayo baada ya timu hiyo kuanza vyema michuano hiyo kwa kuifunga Burkina…

Read More

Huyu ndiye Yusuf Manji wa 1975 mpaka 2024

Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu. Manji (49), ambaye alifariki dunia saa sita usiku akiwa miezi miwili iliyopita alifanya mahojiano marefu na gazeti hili ambapo alizungumza mambo mengi kuhusiana…

Read More