Bodi yawasisitiza watendaji Mbeya AUWSA kuwa na kasi ya utendaji kazi
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maji na usafi wa Mazingira Mbeya wamekutana na kufanya kikao cha kikanuni leo tarehe 07 Juni 2024 ukumbi wa Mamlaka ya Maji jijini Mbeya. Kikao hiki kimeongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Bi Edna Mwaigomole kikuhusisha pia Menejimenti ya Mamlaka ya Maji Mbeya (MBEYAUWSA) ikiongozwa na Mkurugenzi mtendaji CPA…