VIDEO: RC Chacha apiga marufuku uuzaji majeneza nje ya hospitali
Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amemuagiza katibu tawala wa mkoa huo kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya wafanya biashara wa majeneza ili waondoe shughuli zao nje ya Hospitali ya Kitete. Amesema kuendelea kufanya biashara hiyo maeneo hayo tena hadharani, kunatajwa kuongeza hofu kwa wagonjwa wanaopelekwa kupata matibabu pindi wayaonapo yamepangwa nje. Mkuu…