NCAA: TUTAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU MAPANGO YA AMBONI
Na Oscar Assenga, TANGA. MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba inaendelea na mikakati ya kuboresha miundombinu ya Mapango ya Amboni yaliyopo Jijini Tanga ili yaendelee kuwavutia watalii wengi zaidi. Hayo yalibainishwa February 14 mwaka huu na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi anayesimamia Huduma za Utalii na Masoko NCAA Mariam Kobelo wakati wa kampeni…