Watu 13 wafariki dunia kwa ajali ya gari wakielekea Kilwa – Bongo5.com
Watu 13 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea Somanga kuelekea Kilwa Kivinje kugongana uso kwa uso na roli la mafuta. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akisema taratibu zingine za kubaini chanzo cha ajali…