Vigogo Championship wahamishia nguvu FA
BAADA ya kushuhudia Mbeya City ikiwa timu ya kwanza ya Championship kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), miamba wengine watatu waliobaki katika mashindano hayo watashuka kwenye viwanja mbalimbali kusaka pia tiketi hiyo. Stand United iliyoichapa Fountain Gate kwa penalti 4-3, baada ya sare ya 1-1, itakuwa kwenye Uwanja wa Kambarage mjini…