Gamondi afichua jambo Yanga | Mwanaspoti

HESABU za Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mapema tu kadiri iwezekanavyo na ndiyo maana amefichua kuwa na dozi maalum kwa wachezaji wake kwenye uwanja wa mazoezi ili kila mmoja kuwa fiti na tayari kwa mchezo ambao atataka kumtumia. Baada ya kutolewa wiki chache zilizopita katika hatua ya…

Read More

2025 mwaka wa  uchaguzi wa wanawake kuonyesha uwezo

Mbeya. Wakati Tanzania ikitarajia kufanya uchaguzi mkuu mwakani,  Mbunge Viti Maalum, Sophia Mwanagenda amewataka wanaume kujifungia ndani ili waonyeshwe uwezo wa  kuongoza kutoka kwa wanawake. Mwakagenda  ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Agosti 31,2024 mara baada  ya kushiriki mashindano ya mapishi maarufu kama “Tulia Cooking Festival 2024” yaliyohusisha baba na mama lishe  1,000 yaliyofanyika  katika  viwanja…

Read More

Mashabiki Simba waiganda ‘Thank you’ ya Jobe

Akufukuzae hakuambii toka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu kubwa ya kutamani kuona anaachwa. Simba wiki hii, imeanza kuwaaga wachezaji wake ambao hawatawahitaji msimu ujao, ikiwa tayari imeshawaaga wawili, aliyekuwa nahodha wake mshambuliaji John Bocco, Jumatatu Juni 17 na leo ikimuaga kiungo mshambuliaji…

Read More

KenGold kujiuliza jeshini, Azam, Namungo kazi kazi

BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka tena uwanjani kuikabiliana na wenyeji wao, maafande wa JKT Tanzania, wakati Azam FC iliyotoka kuisimamisha Simba itaialika Namungo mechi zote zikipigwa jijini Dar. KenGold iliyopanda daraja msimu huu sambamba na Pamba Jiji, katika duru la…

Read More

Maji kizungumkuti, Dawasa yataja mkakati

Dar es Salaam. Wananchi wakiendelea kulalamikia changamoto ya upatikanaji wa huduma majisafi na salama inayoathiri mfumo wa maisha ya baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam, Serikali imeagiza maji yaliyopo yagawanywe kwa usawa. Vilevile, imeagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (Dawasa) kuweka wazi ratiba ya mgawo wa maji ili watu…

Read More

Hospitali iliyoanza kujengwa 1975, yaanza kutoa huduma

Dodoma. Ujenzi wa Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ya Mkoa wa Mara iliyoanza kujengwa mwaka 1975, imeanza kutoa hudumu huku ujenzi wake ukiwa umefikia asilimia 70 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili ijayo. Hospitali hiyo kuanza kutoa huduma, kunakamilisha safari ya ujenzi wake ulioanza mwaka 1975 chini ya Mwalimu Julius Nyerere na sababu za kuchelewa…

Read More

NACTVET WAKUTANISHA WADAU WA ELIMU ZAIDI YA 260 DODOMA

Na Okuly Julius, Dodoma   Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Dkt. Adolf Rutayuga,leo tarehe 9 Mei,2024, jijini Dodoma, amefungua rasmi kikao cha wadau, kinachojumuisha Wakuu wa vyuo na maafisa udahili ambao jumla yao ni 267, kinachojadili masuala ya udahili na upimaji, ili kubaini dosari…

Read More

Mbinu za kuepuka saratani saba za wanawake, wanaume  

Dar es Salaam. Wizara ya Afya nchini Tanzania imetaja aina saba za saratani zinazowasumbua wanaume na wanawake, huku ikiainisha namna ya kuepuka vihatarishi vya ugonjwa huo. Saratani hizo ni mlango wa kizazi ikiathiri wanawake kwa asilimia 26.4, matiti asilimia 12, tezi dume asilimia tisa, koo asilimia 6.7 na utumbo mpana asilimia sita. Takwimu hizo zimetajwa…

Read More

Shule ya Kimataifa ya Al-Irshaad yakuza vipaji

-Vijana wake wa Mpira wa miguu kumenyana  na Tottenham na Wolves Shule ya Kimataifa ya Al-Irshaad iliyopo Masaki Jijini Dar es Salaam inawataka Watanzania kupeleka watoto wao kupata elimu shuleni hapo ili kuvumbua na kuendeleza vipaji vya vijana wa Kitanzania. Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Salim Sadiq anasema swala la kukuza vipaji na kuviendeleza ni…

Read More