PUMZI YA MOTO: Haaland kafanya miaka miwili alichofanya Rooney miaka 16
HAT-TRICK yake dhidi ya Ipswich Town katika ushindi wa mabao 4-1 wa Manchester City, ilimfanya Erling Braut Haaland afikishe jumla ya hat-trick saba kwake ndani ya mechi 68. Kwa hat-trick hizi, Haalaand anapanda hadi nafasi ya nane katika orodha ya wakali wa hat-trick nyingi za Ligi Kuu England (EPL)akimfikia Wayne Rooney, nyota wa zamani wa…