KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA ATOA WIKI MOJA RUWASA KUPEWA HATI ENEO LA MRADI MAJI MAKUYU
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfley Mnzava ametoa wiki moja kwa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kutoa hati miliki ya eneo ulipojengwa mradi wa upanuzi wa maji Makuyu Kwenda Kinyolisi na Iyogwe ulio chini ya Wakala wa maji vijijini RUWASA Upanuzi wa mradi wa maji Makuyu kwenda Kinyolisi na Iyogwe ni mradi…