Mbulu yatumia Sh204 bilioni kwa maendeleo
Mbulu. Wilaya ya Mbulu imetumia Sh204 bilioni kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya elimu, afya na maji, katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa Serikali ya awamu ya sita. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Michael Semindu, ameyasema hayo leo Aprili 5, 2025 wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi…