Mbunge kujenga ofisi za CCM za Sh150 milioni
Bukoba. Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Jasson Rweikiza amejitolea kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Bukoba Vijijini kwa gharama ya Sh150 milioni. Taarifa ya ujenzi wa ofisi hizo zilizopatikana wilayani humo, zimethibitishwa na mbunge huyo leo Aprili 21, 2024 wakati akizungumza na Mwananchi Digital kuhusu maendeleo ya mradi huo na ulipofikia hadi sasa. “Ni…