Wasimulia mauaji ya Penina wa Goba
Dar es Salaam. Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Penina Methody (27) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa ni panga, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na mtu anayedaiwa ni mpenzi wake limetokea jana Alhamisi, Mei 23, 2024 Goba Centre, Wilaya ya Kinondoni anapofanyia biashara zake Penina. Kamanda…