KenGold yachafua hali ya hewa!

KWA wanachoendelea kufanya KenGold kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ni kama ‘kuchafua hali ya hewa’. Hiyo inatokana na majembe inayoyashusha baada ya kutembeza fagio la nyota wanane ilioanza nao msimu huu ambao ni wa kwanza kushiriki Ligi Kuu. Hadi sasa timu hiyo imetangaza kuachana na Poul Materraz, Asanga Stalon, James Msuva, Steven Mganga,…

Read More

Hisia tofauti kifo cha Ndugai

Dodoma. Serikali imekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoshangilia kifo cha Spika mstaafu, Job Ndugai na kusema watu hao hawana utu. Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Simon Mayeka amesema wote wanaoshangilia msiba huu ni kwa sababu hawajui na hawajitambui huku akibainisha kuwa, wamekosa utu. Mayeka amekemea tabia hiyo leo Alhamisi Agosti 7,2025 alipozungumza na waandishi…

Read More

    Mwamuzi wa Dabi huyu hapa!

    PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Derby’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati zikibakia siku mbili tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi hii ya Aprili 20 kuisaka heshima baina yao, huku jina la mwamuzi wa pambano hilo likiifikia Mwanaspoti. Wakati mchezo huo ukisubiriwa kwa hamu taarifa…

    Read More

    Yajue mabadiliko yaliyotikisa Bunge la 12

    Dodoma. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai wa Bunge la 12 chini ya Spika Dk Tulia Ackson na Naibu wake, Mussa Zungu, pamoja na wenyeviti watatu. Katika mkutano huu wa mwisho wa uhai wa Bunge la Tanzania, kwa uzoefu, wabunge hupitisha miswada…

    Read More

    WFP inalaani uporaji huko Bukavu baada ya waasi wa M23 kuchukua jiji muhimu – maswala ya ulimwengu

    Katika ujumbe mkondoni Jumatatu, WFP Alisema kuwa “inalaani uporaji wa ghala zake huko Bukavu kusini mwa Kivu … vifaa vya chakula vilivyohifadhiwa vilikusudiwa kutoa msaada muhimu kwa familia zilizo hatarini zaidi ambazo sasa zinakabiliwa na shida ya kibinadamu”. Watekaji nyara walifanya na tani 7,000 za vifaa vya chakula vya kibinadamu, shirika la UN lilisema, na…

    Read More