Jinsi alivyojinasua katika kifungo cha miaka 30, kuachiwa huru
Dar es Salaam. Amejinasua, ndilo neno unaweza kulitumia kuelezea namna mkazi wa Msata Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Hamis Luvumbagu alivyoepuka kifungo cha miaka 30 jela kwa tuhuma za ubakaji. Uamuzi wa kumwachia huru umetolewa na Jaji Awamu Mbagwa wa Mahakama Kuu Dar es Salaam, katika hukumu aliyoitoa Februari 10, 2025 na nakala kuwekwa mtandao wa…