Haya hapa malezi yanayomjenga mtoto kihisia

Dodoma. Daniel Goleman, mwandishi wa kitabu cha Emotional Intelligence, aliwahi kusema, “Usipomsaidia mtoto kujenga umahiri wa kuelewa na kumudu hisia zake, unamwandaa kuwa mtu atakayepata shida kwenye uhusiano wake na watu. Malezi, kwa msingi huo, yanalenga kushughulika na hisia za mtoto.” Hapa ninakuletea njia tano za kujenga umahiri wa mtoto kumudu hisia zake. Wapo watoto…

Read More

Makocha Yanga waipa ujanja Simba

INAWEZEKANA. Ndivyo walivyosema kwa nyakati tofauti makocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael na Hans van der Pluijm wakiamini Simba inaweza kupindua matokeo ya mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane katika mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayopigwa nchini wikiendi hii. Vijana wa Fadlu Davids wanahitaji ushindi wa mabao 3-0 ili…

Read More

RC Morogoro awapongeza wauguzi kwa utendaji kazi

Katibu tawala mkoa wa Morogoro Dokta Mussa Ally Mussa amesema licha ya kukumbana na Changamoto mbalimbali lakini wamekua wakitoa huduma Bora Kwa wagonjwa ambapo amewataka kuepukana na vitendo viovu vinavyoweza kuwaharibika kazi ikiwemo rushwa ,dharau na ligha mbaya. Dokta Mussa ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani ambapo kwa Mkoa Morogoro yamefanyika Morogoro…

Read More

Israel ikomeshe mateso kwa Wapalestina Gaza – DW – 18.07.2024

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Israel kuachana na vitendo vya kuwaweka gerezani Wapalestina kwa muda usiojulikana na bila kufunguliwa mashtaka. Amnesty imeongeza kuwa mamlaka za Israel zinatakiwa kukomesha kile walichokiita “mateso yaliyokithiri” katika magereza hayo na kusisitiza kuwa vitendo vyote hivyo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za…

Read More

Mshindi Avuna Shilingi Milioni 20 Kwenye Kampeni ya “NI BALAA!” Kutoka Vodacom Tanzania – MWANAHARAKATI MZALENDO

Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi! Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania Plc, George Venanty (kushoto),akimkabidhi mfano wa hundi ya TZS 20,000,000/- mshindi wa kwanza wa kipengele kikuu wa droo ya kampeni ya ‘Ni Balaa!’, Bankason Yusuph wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi mbalimbali,  iliyofanyika tarehe 16 Agosti 2024, jijini Arusha.Kampeni…

Read More