Mikoa sita kupata mvua na ngurumo za radi kwa siku 10
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetaja mikoa sita itakayoshuhudia vipindi vya mvua na ngurumo za radi kwa siku 10. Hali hiyo iliyoanza kushuhudiwa kuanzia jana Agosti 11, 2025, itadumu hadi Agosti 20, 2025. Mikoa inayotarajiwa kukumbana na hali hiyo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara. Kuhusu hali ya…