Aweso abaini uzembe na makusudi kwa baadhi ya watendaji DAWASA
Waziri wa maji Jumaa Aweso amesema amebaini uzembe na hujuma ya makusudi kutokana na watendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) kutofanya wanayopaswa pamoja na kuzoea kero na malalamiko ya Wananchi. Amebainisha hayo Julai 3, 2024 alipotembelea Tenki la Chuo cha Ardhi, wilaya ya ubungo Jijini Dar es salaam wakati akieleza…