Kipa Dodoma aanza kujihami | Mwanaspoti
KIPA wa Dodoma Jiji Mkongomani Alain Ngeleka amesema anategemea mapokezi mazuri wakati kikosi hicho kitakapopambana na Kagera Sugar katika mchezo mkali wa kusisimua wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kesho, kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Kauli ya kipa huyo inatokana na kuwahi kuichezea timu hiyo kabla ya kujiunga na Dodoma Jiji msimu huu ambapo anaamini atapata…