Ajira chanzo wanafunzi kukimbia baadhi ya kozi vyuoni
Dar es Salaam. Wakati idadi ya udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ngazi mbalimbali vyuoni mwaka 2023/2024 ukishuka kwa asilimia 22.3 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, madini na sayansi ya dunia, sayansi ya maisha, utalii na ukarimu zinaongoza kwa kukimbiwa na wanafunzi. Hiyo ni baada ya takwimu kuonyesha kuwapo idadi ndogo ya wanafunzi wanaochagua kusoma…