Rais Samia kukabidhi tuzo ‘Samia Kalamu Awards’
Dar es Salaam. Tuzo 31 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa waandishi wa habari katika fainali ya Tuzo za ‘Samia Kalamu Awards’, zitakazotolewa Mei 5, 2025 jijini Dar es Salaam. Katika tuzo hizo zitakazozotelewa na Rais Samia Suluhu Hassan, kutakuwa na tuzo za chombo cha habari, mwandishi mwenye mafanikio, mwandishi mahiri ofisa habari bora na habari kuhusu nishati…