AKHSANTE FOUNDATION WACHINJA NA KUGAWA NYAMA YA NG’OMBE, KONDOO NA MBUZI MIRERANI
Na Mwandishi wetu Mirerani TAASISI ya Akhsante Foundation Tanzania imechinja ng’ombe 350, kondoo na mbuzi 1,800 za nyama na kugawa kwa yatima, wajane, wahitaji na taasisi mbalimbali za mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El Adha. Nyama hizo zimechinjwa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid…