AWF yaiwezesha Tawa kudhibiti utoroshwaji nyara za serikali
Arusha. Sekta ya Uhifadhi nchini imepata msukumo mpya baada ya Shirika la Uhifadhi Afrika (AWF) kukabidhi mradi wa jengo la Kikosi cha Mbwa Nusa wanaodhibiti utoroshwaji wa nyara za Serikali kwenye viwanja vya ndege wenye thamani ya zaidi ya Sh137 milioni. Mradi huo umetekelezwa na AWF umelenga kuiwezesha Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (Tawa)…