Umuhimu wa kuwa na mfuko wa dharura

Mfuko wa dharura ni akiba ya fedha inayowekwa kando mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na matukio yasiyotazamiwa katika maisha. Hii ni pesa ambayo haitumiki kwa matumizi ya kawaida kama ununuzi, starehe au likizo, bali ni fedha maalum inayolenga kukusaidia pale unapokumbwa na changamoto zisizopangwa kama ugonjwa, kupoteza kazi, ajali, au gharama nyingine za ghafla. Mfuko…

Read More

USAID Afya Yangu na Kizazi Hodari Kanda ya Kusini washirikiana na WiLDAF kuzindua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsi

Miradi ya USAID Afya Yangu na Kizazi Hodari Kanda ya Kusini inayofadhiliwa na Shirika la Msaada la Watu Kutoka Marekani na kusimamiwa na Deloitte Consulting Limited,  imeungana na shirika la WiLDAF Tanzania kwenye kuzindua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kinjisia kwa mwaka 2024 huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni ‘Baada…

Read More

Fadlu: Huyo Ramovic? Ngojeni muone

YANGA imeshinda mechi yake ya kwanza chini ya kocha Sead Ramovic, ushindi ulioshusha presha kwa mashabiki wa timu hiyo lakini kocha wa watani wao Fadlu Davids amefunguka juu ya anayoyajua kuhusu Mjerumani huyo.Yanga iliichapa Namungo juzi kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Majaliwa, mabingwa watetezi wakiendeleza rekodi ya kibabe mbele ya timu hiyo ukiwa ni…

Read More

Rufaa za ubunge, udiwani zaacha vilio

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imehitimisha mvutano wa kisheria kwa kutoa uamuzi wa rufaa za mapingamizi ya wagombea wa upinzani na chama tawala kwa ubunge na udiwani, uamuzi ulioacha baadhi ya wagombea wakifurahia ushindi huku wengine wakibaki na masikitiko. Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC,…

Read More

AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAWAZAWADIA WASHINDI WA KAMPENI YA TWENDE KIDIGITAL TUKUVUSHE JANUARI

Na Mwandishi wetu-Dar es salaam Akiba Commercial Bank imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni “twende kidigital tukuvushe Januari” na imewahimiza kuendelea kutumia huduma zake za kidijitali kama vile ACB Mobile, Internet Banking, ACB VISA Card, na ACB Wakala ili kufurahia uzoefu wa kipekee wa kibenki. Shukrani hizo zimetolewa Jijini Dar es salaam Januari,2025 Mkuu…

Read More

Wastaafu CCM wampigia chapuo Samia, urais 2025

Dodoma. Viongozi wastaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali wamemwelezea mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan, kama chaguo bora katika nafasi hiyo, huku wakiwataka wananchi kwenda kumpigia kura, ili aendelee kuliongoza taifa. CCM kinaendelea na kampeni katika maeneo mbalimbali, na tangu kilipozindua kampeni zake Agosti 28, tayari mgombea huyo urais amefanya kampeni…

Read More