RC SERUKAMBA AIUNGA MKONO REA UGAWAJI MITUNGI YA GESI 9800 IRINGA
REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Serukamba amezungumza hayo leo Novemba…