Shangingi lililosafirisha wahamiaji haramu Manyara lataifishwa
Babati. Gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 VXR maarufu kama Shangingi lililotumika kuwabeba Waethiopia 17 walioingia nchini bila vibali na kutelekezwa Babati mkoani Manyara, limetaifishwa huku wahamiaji hao wakitakiwa kulipa faini ya Sh500, 000 kila mmoja au kwenda jela miaka miwili. Aprili 7, 2024, gari hilo lilikamatwa eneo la Kiongozi mjini Babati baada ya…