Mwanamama mdau wa Usafiri wa Anga Tanzania Atambuliwa Katika Mkutano wa 42 wa ICAO
Sekta ya anga ya Tanzania imepata kutambulika kimataifa wiki hii wakati Bi. Rosemary Kacungira, Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Equity Aviation, alipoheshimiwa katika Mkutano wa 42 wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) unaoendelea Montreal, Canada. Bi. Kacungira alionyeshwa katika heshima maalumu ikionesha mafanikio yake wakati wa Kikao cha Ufunguzi cha Mkutano,…