Jaji Makaramba: Vyombo vya habari ni msingi wa usalama wa Taifa lolote
Dar es Salaam. Jaji mstaafu, Robert Makaramba amesema kuheshimu na kulinda uhuru wa wanahabari ndiyo msingi wa usalama wa Taifa lolote duniani. Amesema kuminya uhuru wa wanahabari na kutunga sheria lukuki dhidi yao, sawa na kutumia rungu kuuwa mbu. Kilichoelezwa na Jaji Makaramba kinarejea maisha magumu iliyopita tasnia ya habari nchini katika kipindi cha miaka…