Majaliwa azindua kampeni za ubunge Nachingwea
Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua kampeni za ubunge Nachingwea, akitoa wito kwa wananchi kuchagua wagombea wote wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza kwenye kampeni zilizofanyika uwanja wa maegesho ya malori Nachingwea mjini, leo Septemba 12, 2025…