Madai ya Israel kukwamisha mazungumzo ya kusitisha mapigano – DW – 20.08.2024

Maafisa walio na karibu na mazungumzo hayo wanasema Israel inataka kuendeza uwepo wa kijeshi katika njia nyembamba kwenye mpaka kati ya Gaza na Misri ambayo inauita ukanda wa Philadelphia, pamoja na eneo ililoliunda linaloitenganisha Gaza Kaskazini na Kusini.Je, maeneo hayo yana umuhimu gani kwa Israel?  Haijabainika wazi iwapo udhibiti wa Israel wa njia hizi umejumlishwa…

Read More

Likizo imekaribia, kila mzazi akumbuke haya

Mwisho wa mwaka umekaribia na shule zinatarajiwa kufungwa kwa mapumziko ya likizo ya mwaka. Ingawa likizo ni wakati wa kupumzika, ni muhimu kuwa na ratiba inayojumuisha masomo, mazoezi, shughuli za kijamii, na muda wa kupumzika, ili kuhakikisha watoto wanakuwa na maendeleo bora katika nyanja zote za maisha. Hapa nitaangazia baadhi ya mambo ambayo mzazi makini…

Read More

CPA MAKALLA:CHADEMA HAWAKUFANYA MAANDALIZI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

*Asema waliwekeza katika kufanya maandamano, migogoro inawatafuna Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema CHADEMA waache kulalama kuwa wagombea wake walienguliwa kwani ukweli uliopo Chama hakikuwa kimejiandaa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Akizungumza leo…

Read More

NMB YATOA TILIONI ZA MKOPO

Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kilimo Benki ya NMB  Isaack  Masusu (mwenye kofia) akifafanua  jambo  mbele ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti  anayesikiliza wa kwanza kulia kwenye maonesho ya  wakulima wa kisasa yanayoendelea Ubena Zomozi  Halmashauri ya  Chalinze Mkoani Pwani. Na Khadija Kalili, Michuzi Blog SHILINGI Tilioni 1.61 zimetolewa…

Read More

RAIS DKT SAMIA AHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA KAMPENI YA RAIS RAILA AMOLO ODINGA, WAZIRI MKUU MSTAAFU KENYA ANAYEWANIA NAFASI YA MWENYEKITI WA AU

  Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kampeni , Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na…

Read More

MADINI YA EMERALD YAIBUA MVUTO MPYA WA UWEKEZAJI MKOANI RUKWA

Mkoa wa Rukwa umeendelea kujikita kuwa kitovu kipya cha uchimbaji wa madini ya emerald nchini, huku Serikali na wadau wa sekta hiyo wakihimiza vijana kuchangamkia fursa zinazopatikana katika maeneo mbalimbali ya uchimbaji. Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo la Mponda lililopo Wilaya ya Sumbawanga, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Rukwa, Mhandisi Joseph Kumburu, amesema…

Read More

Mkenya awatoa hofu Pamba, aahidi pointi 3 Azam

LICHA ya kutopata ushindi kwenye mechi tano na kufunga mabao mawili pekee, Nahodha wa Pamba Jiji, Christopher Oruchumu amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akisisitiza ni kipindi cha mpito na kwamba itaanza kufanya vizuri kuanzia mchezo ujao dhidi ya Azam FC. Mechi tano za Pamba Jiji tangu Agosti, mwaka huu, chini ya Kocha Goran Kopunovic…

Read More