Rais Samia ataja siri uteuzi wa Makalla, akiwaapisha viongozi wapya
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni akiwamo Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ili kuanza rasmi majukumu yao mapya katika utumishi wa umma nchini. Katika hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma leo Agosti 26, 2025 Rais Samia ametaja sifa zilizombeba Makalla katika uteuzi huo…