Mayanga kazi anayo usajili Mashujaa

WAKATI vigogo vya soka vikiendelea kutambiana kwa sajili zao, kuna watu wanaitwa Mashujaa wanafanya usajili mzuri sana wa wachezaji wazawa. Ndiyo tunakumbuka hapa kijiweni Mashujaa inamilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania na kama ilivyozoeleka timu za majeshi huwa kwa asilimia kubwa zinatoa fursa kwa watoto wa nyumbani kwa maana ya wachezaji wazawa. Sasa kama husajili…

Read More

Dk Nchimbi aahidi wazawa kushiriki uchimbaji madini, miradi ya maendeleo Kahama

Kahama. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kikitapata ridhaa ya kushika dola katika uchaguzi mkuu, kitahakikisha madini yote ya kimkakati yanachimbwa na Watanzania. Amesema, kama si wazawa kuchimba wao moja kwa moja basi ubia utakaoingiwa na wawekezaji utakuwa sawia ili rasilimali hiyo iwanufaishe zaidi wananchi. Dk…

Read More

Naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anadai sera za ujasiri, ufumbuzi wa kibunifu kwa SDGs – Masuala ya Ulimwenguni

Akihutubia katika ufunguzi wa kongamano hilo 2024 Kongamano la Kisiasa la ngazi ya juu kuhusu Maendeleo Endelevu (HLPF), Amina Mohammed ilitaka hatua za kuleta mabadiliko na sera shupavu za kushughulikia changamoto za kimataifa kama vile umaskini, uhaba wa chakula na mabadiliko ya hali ya hewa. “Ingawa changamoto kubwa mbele yetu ni ya kutisha, kwa pamoja…

Read More

RC Macha ataka waajiri wawaruhusu wafanyakazi kushiriki Mei Mosi

Shinyanga. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amezindua rasmi wiki ya maadhimisho kuelekea Siku ya Wafanyakazi Duniani itakayofanyika Mei mosi, 2025, huku akitoa wito kwa waajiri wote kuwaruhusu wafanyakazi wao kushiriki kikamilifu katika shughuli hizo. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi, Aprili 26, 2025, wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo  uliofanyika katika uwanja wa Kambarage…

Read More

Toldo ameibeba Madagascar mabegani | Mwanaspoti

KIPA mkongwe wa Madagascar, Ramandimbisoa Lalain’arijaka Michel ‘Toldo’, amekuwa sehemu ya mafanikio ya taifa hilo baada ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024. Toldo, mwenye umri wa miaka 39 na anayekipiga klabu ya Elgeco Plus, mabingwa wa Ligi Kuu ya Madagascar na Kombe la…

Read More

Upungufu wa walimu unavyowaliza wazazi Mwanga

Mwanga. Wazazi katika Kata ya Kigonigoni iliyopo Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia upungufu wa walimu ikielezwa baadhi ya shule za shule za msingi zenye watoto wengi zina walimu wawili hadi wanne. Wilaya hiyo yenye shule za msingi 110, ina jumla ya wanafunzi 24,476 wa darasa la awali hadi la saba na hivyo kuwa na…

Read More

Jabir katikati ya Namungo, Mbeya City

MSHAMBULIAJI huru Anuary Jabir, imeziingiza vitani timu tatu kuwania saini yake kwa ajili ya msimu ujao ambazo ni Namungo, Dodoma Jiji na Mbeya City kati ya hizo itakayokuwa na ofa nono itafanikiwa kupata huduma yake. Jabir msimu uliyoisha alikuwa na Mtibwa Sugar iliyopanda daraja kucheza Ligi Kuu 2025/26, kiwango alichokionyesha kimezivutia timu hizo kuhitaji huduma…

Read More