Aliyeuawa kwa risasi na polisi azikwa
Dodoma. Mwili wa Frank Sanga (34) aliyefariki dunia kwa kupigwa na risasi umezikwa leo huku wachungaji wa Kanisa la Anglikana wakitaka Serikali isimamie mambo hayo yasijirudie kwa sababu yanaiumiza jamii. Mbali na vilio vilivyotanda nyumbani hadi kanisani, baadhi ya ndugu walipoteza fahamu baada ya kuona mwili wa ndugu yao. Mjane wa Frank Sanga aliyeuawa kwa…