NAIBU WAZIRI WA AFYA AAGIZA KUONGEZEWA KWA RASILIMALI KATIKA MPAKA WA TUNDUMA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa agizo kwa uongozi wa mkoa wa Songwe kuongeza nguvu katika rasilimali watu na vifaa kwa ajili ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ya mlipuko, ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa Mpox. Katika ziara yake ya kikazi kwenye forodha ya mpaka wa Tunduma mnamo Agosti 22, 2024, Dkt. Mollel…