OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA KAMATI YA BUNGE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akifafanua hoja mbalimbali wakati wa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mkakati wa Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu ya mwaka 2024 kwa kipindi cha Julai hadi Oktoba…