Morata kwenda AC Milan kusaini mkataba wa miaka minne.

Álvaro Morata amekubali kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa miaka minne baada ya klabu hiyo ya Italia kuanzisha kipengele chake cha kuachiliwa kwa €13m kutoka Atlético Madrid. Hatua hiyo inatarajiwa kukamilika wiki hii, huku Morata akiwa amekubaliana kwa maneno na masharti ya mkataba huo. Morata amekubali kwa mdomo mkataba wa miaka minne huko Milan,…

Read More

Nahimana kiboko ya penalti Ligi Kuu

KIPA Jonathan Nahimana wa klabu ya Namungo ameonyesha umahili mkubwa wa kudaka mikwaju ya penalti baada ya juzi (Alhamis) usiku kudaka penalti ya Feisal Salum  wa Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu  uliomalizika kwa sare ya 1-1 kwenye uwanja wa Azam Complex. Penalti hiyo ilipatikana dakika ya 48 ambayo kama ingeingia wavuni basi ingeifanya…

Read More

Meridianbet weka pesa na Airtel Money utoboe kibingwa  

  Meridianbet na Airtel Money waja na promosheni mahususi kwa ajiri ya mabingwa wote wanaotumia airtel, hii ni kwa wote wateja wapya na wale walipo ukitaka kutafuta tobo la mabingwa basi meridianbet tumekutobolea tobo la kutoboa kibingwa. Kila siku mabingwa wanapatikana ndani miezi mitatu hata wewe unaweza kuwa bingwa, mashujaa wanafurahia kutoboa kibingwa na meridianbet…

Read More

Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya basi Kagera

Kagera. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika katika katika hospitali teule ya Biharamulo na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi iliyotokea katika eneo la Kabukome, Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera. Ajali hiyo ilitokea jana Jumamosi Desemba 21, 2024 na kusababisha vifo vya watu 11 na wengine 16 kujeruhiwa…

Read More

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU

Na; Mwandishi Wetu – Arusha Kufuatia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotegemea kufanyika Kitaifa Jijini Arusha Tarehe 8 Machi, 2025, yaliyotanguliwa na maonesho na utoaji wa Elimu kwa Umma katika Viunga vya Uwanja wa Shekhe Amri Abeid Jijini humo, Wananchi wanaotoka katika maeneo ya Mkoa wa Arusha na Mikoa Jirani, wamefurika katika…

Read More

MRADI WA MAJI KEMONDO TUMAINI JIPYA LA WANABUKOBA

Na Dulla Uwezo Imeelezwa kuwa changamoto zilizokuwepo katika Mradi wa Maji wa Kemondo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, sasa huenda zikatatuliwa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuletwa fedha nyingi  katika mradi huo, na kwamba mkandarasi kwa sasa anafanya kazi kwa juhudi kubwa. Hayo yamebainika katika Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Mathew Kundo aliyefika…

Read More