BALOZI MULAMULA ATIKI ASIFU UTULIVU WA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA
:::::::: Mjumbe Maalumu wa Masuala ya wanawake, Amani na Usalama, Barani Afrika Balozi Liberata Mulamula ameungana na wananchi kupiga kura(kutiki) kumchagua Rais, mbunge na diwani huku akisifu utaratibu na utulivu wa wananchi kupiga kura. Balozi Mulamula amejitokeza kutiki mapema leo katika kituo Cha Kupiga kura Cha Maliasili Mbezi Jogoo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es…