Tabora United kuja kivingine Ligi Kuu
KIKOSI cha Tabora United kimeingia kambini kujiwinda na mechi mbili za Ligi Kuu Bara zilizosalia kumalizia msimu huu, huku kocha mkuu Simonda Kaunda akieleza kuwa hali ya timu na wachezaji wako fiti. Timu hiyo imebakisha mechi mbili kufunga msimu huu ambapo Juni 18 itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Azam huku ikiwa na kumbukumbu ya kushinda…