
WAZIRI WA UJENZI MHE. ULEGA AIPA KONGOLE ETDCO KWA UTEKELEZAJI BORA MIUNDOMBINU YA UMEME
…………. Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega, ameipongeza Kampuni ya ETDCO kwa umahiri na weledi katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi, ukarabati na usambazaji wa miundombinu ya umeme nchini. Aidha, amewasihi viongozi wa Kampuni hiyo kutangaza mchango wao kwa jamii na kutambua kazi kubwa wanayoifanya katika kuimarisha Sekta ya nishati ya umeme. Mhe. Ulega ameyasema…