Ujenzi madaraja King’ori Arusha kuondoa kero, kuokoa maisha
Arusha. Kufuatia tukio la Aprili 25, 2023 lililosababisha vifo vya watu wanne wa familia moja baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na mafuriko katika eneo la King’ori, wilayani Arumeru, Serikali imeanza ujenzi wa madaraja mapya kama hatua ya kudumu ya kukabiliana na maafa na changamoto za miundombinu. Madaraja hayo mawili, yanayojengwa katika eneo hilo ambalo…