DUWASA YASHUKURU WANANCHI NZUGUNI WALIOJITOLEA MAENEO YA MRADI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amesema kukamilika kwa asilimia 98 ya mradi mkubwa wa maji wa Nzuguni uliyogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4.3 na kuanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Disemba 23, 2023 ni mafanikio yaliyochangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya wananchi waliyojitolea maeneo…