Ukiwa na macho ZPL marufuku
UNGUJA. BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu kama red eyes. “Uzuri haya maradhi hayamfichi mtu mwenye nayo anaonekana wazi wazi kwahiyo hakuna ulazima wa kubeba vifaa mchezaji ukimuona tu utamjua kama anayo au hana,”…