Mzumbe Yaendesha Mafunzo ya Ufanisi katika Uendeshaji wa Shule na Vyuo vya Kati
CHUO Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam Kwa kushirikiana na Shirikisho la Wamiliki na Mameneja wa Shule na vyuo vya kati visivyo vya Serikali (TAMONGSCO) wametoa Mafunzo kuhusu namna bora ya uendeshaji wa shule za Msingi , Sekondari na vyuo vya kati kwa Wamiliki na Mameneja wa shule na vyuo vya kati visivyo vya…