Josiah awapa saluti Lazaro, Ahmad Ally
KOCHA wa Tanzania Prisons, Aman Josiah amewataja makocha waliyofanya vizuri msimu ulioisha ambao ni Ahmad Ally wa JKT Tanzania na wa Coastal Union, Joseph Lazaro, akiwaweka kando wa timu zilizomaliza Top 4 katika msimamo wa Ligi Kuu. Alitoa sababu ya kwa nini Ally ambaye timu ilimaliza nafasi ya sita ikiwa na pointi 36 na Lazaro…