Fountain yaanza na mshambuliaji | Mwanaspoti
TAARIFA zinadai kwamba uongozi wa Fountain Gate, umemalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Yusuph Athuman kwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja. Mshambuliaji huyo anatua Fountaine Gate akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na timu ya West Armenia inayoshiriki Ligi Kuu Armenia ambayo alijiunga nayo Julai 2023. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Fountain Gate…