Kanisa lafungwa kisa mgogoro wa ardhi, waumini KKAM wasali nje
Arusha. Zaidi ya waumini 200 wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) wamefanya ibada nje ya nyumba ya mtu baada ya kukuta kanisa lao limefungwa na kuzungushiwa mabati kutokana na mgogoro wa ardhi. Eneo la kanisa hilo lilizungushiwa mabati wiki iliyopita na mtu anayetajwa kuwa mmiliki wa eneo hilo, baada ya kushinda kesi kuhusu madai…